Friday, December 9, 2011

Joseph Mbilinyi (Mr II - SUGU): MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMAC...

Joseph Mbilinyi (Mr II - SUGU): MAPAMBANO BADO YANAENDELEA KATI YA POLISI NA WAMAC...: Baadhi ya wamachinga wakiwa wamelipindua gari yaina ya toyota na kusimama juu yake huku wakitamka maneno makali kwa polisi na jiji la mb...

3 comments:

  1. waiting for mr II washington dc Launching his autobiograp book 2012

    ReplyDelete
  2. Yesu alisema Mchungaji Mwema ni yupi kati ya aliyewaacha kondoo 99 na kufuatilia 1 aliyepotea. Hii ni makala maalumu kuhusu matokeo ya kidato cha nne. nakumbuka sikufurahishwa na makala ya Muheshimiwa January Makamba alipokuwa anawapongeza waliofanya vizuri mtihani wa kidato cha nne mwaka jana 2012 nilimuuliza tangu tanzania ipate uhuru kuna mamilioni wa wanafuzi walio feli tena wengine kwa jitihada kubwa za kujikomboa lakini miti iliteleza nani anawajali na ni nani wakujua yaliyowasibu na ni nani wa kuwafungulia milango mingine mmoja ukifungwa. Mwaka huu idadi ya waliofeli imeongezeka na imezua jambo, haya matokeo yana uzito na unyanya paa wa hali ya juu wengine hata maisha hawayatamini ingawa uhai ndio njia ya kufanya mabadiliko na kuuambia uma ipo njia penye nia pana njia. Nimesoma makala ya Mimi Mwanakijiji amependekeza division sifuri iondolewe. Taifa inabidi litoe tamko mwanafunzi na kuwapa moyo wanafuzi wanaweza kurudia mitihani wakati wowote kwa mwaka mara moja, wanafunzi wasio na uwezo wa ada ya kulipia mitihani kata ziwasaidie kulipia hizo ada. Wasomi jitoleeni kufundisha watoto masikini hata saa moja kwa Juma. taifa lililoelimika kwa ujumla ndilo lenye uwezo wa kubuni ajira zisizo rasmi na ujasiriamali. Umasikini mbaya ni wamawazo na unyimi wa kupanua nafasi za kila mtu kujiwezesha bila kuwa na wivu wa maendeleo. Nilisoma na rafiki yangu Mawezi sec anaitwa PL mwaka 1994 ndio mwanafuzi pekee aliyeenda kusoma ECA kutoka mawenzi sec akaniambia mchepuo ulikuwa na wanafumzi mia zaidi ya 250 sasa hao 249 walikuwa wananisindikiza, Alijivunia kuwa yeye ndio yeye, kiukweli elimu inahitaji ushirikiano kama jeshini, Ubinafsi unaweza kutuletea hasara. Wakati tuna Chuo kikuu kimoja Unyama ulikuwa mkubwa vyuoni ndio maana Rafiki yangu John Mnyika anasema atamalizia degree yake CCm ikiondoka madarakani. Maprofesa wengi wa chuo kikuu dar walipinga kuanziswa kwa vyuo vikuu vingine, nguvu kazi lilioongezeka sasa hivi baada ya Kuongezwa kwa vyuo ndio muhimili wa Taifa. Elimu ipo kwenye vitabu na vitabu havidanganyi.Vitabu vinahitaji kujituma mwnafunzi anatakiwa awe tayari kujifunza tuu na kungejea kufurahia matokeo yake.Jiulize kwaninimalimu wa secondary au msingi anafurahia wanafunzi wake kufaulu lakini Profesa wa chuo kikuu kama Dar Es salaam anachukia mwnafunzi kufaulu vizuri- sababu anajua akifaulu vizuri atakuwa mkufunzi ataninyang'anya kazi yangu.ndio manaana utakuta mapengo Muhimbili wahadhiri hakuna sababu alidiscko mwka wa kwanza kisa misspelling. kama sio Bugando na KCMC watanzania mngetibiwa na nani KCMC na Bugando imetoa madactari bora duniani Ndugu yangu Theophil Shangali ni moja wao. wasomi wetu tulio wategemea ndio wamehusika na haya majanga ya kielimu umri unaenda nikiwapigia hesabu naona chaguo asilia (natural selection) wanastaafu , tunaanda kizazi cha jshi la taaluma litafundisha watoto wa masikini bure na ujira wetu ni mafanikio yao. vitabu wala majengo havidai pesa ili mtu. Asanteni

    ReplyDelete